Habari Na Matukio

Washiriki walijadili miongozo ya Asasi za kiraia, michango ya NGOs katika Uchumi, njia za kuimarisha maendeleo endelevu, Kanuni za kodi, Fursa na kanuni za fedha za NGOs.

Read more

Shirika la Rafiki SDO kupitia mradi wa KAGIS Geita, limetembelewa na Msajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali kujionea hedhi salama na Elimu ya Afya ya uzazi kwa vijana wa rika balehe.

Read more